BUS la abiri mali ya Kampuni ya Abood lenye namba za usajili T 285 EAV Lillilokuwa likisarifi kutoka Dar es salaam kwenda Kagera limeteketea kwa moti.
Ambapo abiria 40 waliokuwemo ndani ya gari hilo wamenusurika kifo baada ya kuwahi kushuka.
Ajali hiyo imetokea leo Majira 11 Alfajiri katika Eneo la Isaka wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na ukoaji wilaya ya Kahama SSP Stanley Luhwago amesema wamefanikiwa kuuzima moto huo.



0 Comments