NSSF KAHAMA YAELEZEA SKIMU YA TAIFA YA HIFADHI YA JAMII

Skimu ya Taifa ya hifafhi ya jamii kwa wananchi waliojiajiri.


Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya Jamii (NSSF) hutoa huduma za hifadhi  ya jamii kwa wanachama walioajiriwa  au waliojiajiri kwenye sekta binafsi 

Madhumuni ya kuanzisha skimu hii ni  kuongeza wigo wa hifadhi ya jamii kwa makundi  ambayo hayanufaiki na huduma hizi ingawa wanashiriki kikamilifu kuchangia uchumi wa nchi.

Kusaidia juhudi za serikali za kupunguza umasikini wa kipato kwa wananchi  na kuongeza nguvu za uzalishaji mali na kukuza uchumi wa nchi.

Ambapo walengwa wake ni wanachama waliojiajiri katika maeneo ya kilimo,uvuvi,ufugaji,uchimbaji wa madini,bodaboda,machinga,Mama lishe na Baba lishe.

Post a Comment

0 Comments