WAWEKEZAJI WAITWA BUZWAGI SPECIAL ZONE ECONOMC


 Na Kareny Masasy,

Kahama

Wawekezaji nchini wameitwa  kuwekeza kwenye kongani ya viwanda iliyopo eneo la Buzwagi Economic Zone  Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga. 

Takribani wawekezaji 35 wamejitokeza kuchukua maeneo mbalimbali wakiwemo kampuni ya Kabanga Nickel inayojishugulisha na utengenezaji wa vipuri vya kuchenjua dhahabu na umoja wa Suplier nchini waliochukua eneo lenye ukubwa wa ekari 127.

Kamati ya kudumu ya bunge Utawala,Katiba na Sheria ikiongozwa na mwenyekiti wake  Dk Damas Ndumbaro amesema watatumia nafasi waliyonayo kuitangaza kongani zote nchini ikiwemo hii ya  Buzwagi Kahama.

"Eneo la kongani Buzwagi tumejionea liko vizuri halina shida yoyote na miundombinu yote imekamilika ikiwemo barabara,maji na umeme nasi tumelizika"




 kuwekeza h

 kuw


Post a Comment

0 Comments