Pichani aliyetangulia ambae amevaa koti
mwanaume ni afisa mifugo wa korogwe mji,Juma Kimosa akimuonguza
waziri,Hawa Ghasia kukagua ujenzi wa mnada mpya mgombezi katika ziara
yake ya kukagua miradi.
Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la nyumba mkoani Tanga wakiwa nje ya ofisi tayari kwa kumpokea mgeni
0 Comments