| Wajumbe,wataalamu na wageni waalikwa wakimsikiliza mgombea wa nafasi ya unaibu meya wa manispaa David Nkulila alipokuwa akijinadi kwa wajumbe ili wampigie kura. |
| Madiwani wa manispaa ya Shinyanga wakisikiliza maelekezo kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi ambaye hayupo pichani. |
| Msimamizi wa uchaguzi huo Daniel Mkumbo ambaye alikuwa akitoa maelekezo namna ya upigaji kura utakavyokuwa. |
| Mbunge viti maalumu kutoka chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema) Rachal Mashishanga akisikiliza kwa umakini utaratibu wa upigaji kura ndani ya ukumbi huo. |
| Sanduku la kupigia kura ambalo limeandaliwa katika ukumbi uliokuwa ukifanyika kwa baraza kuu la mwaka. |
0 Comments