| Dkt Rose Madinda ambaye ni mshauri wa masuala ya afya akielezea changamoto za wanawake kuhusiana na utumiaji wa njia ya uzazi wa mpango ambapo anasema njia hizo ni salala hazina madhara yoyote kama inavyoelezwa huku akiwataka kuacha kutumia njia ambazo sio za kitaalamu zilizofanyiwa utafiti na badala yake kutumia njia potofu ni kuongeza madhara zaidi katika mwili. |
0 Comments