|
MKUU wa
wilaya ya Shinyanga Josephine
Matiro ametoa wito kwa wananchi kushiriki utolewaji wa elimu katika vyombo vinavyosimamia haki na sheria ili kuweza kujua pindi haki inapotendeka
nakuondoa manung’uniko yanayotokea mara kwa mara katika vyombo hivyo.
Hayo
yalisemwa jana na mkuu huyo wakati wa
uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya
sheria yaliyofanyika katika viwanja vya
zima moto vilivyopo manispaa ya Shinyanga huku wananchi wakitakiwa kujitokeza kusikiliza elimu
inayotolewa katika makundi ya takukuru,jeshi la polisi na mahakama.
|
0 Comments