apani wanakijiji wanao kaa kalibu na shule hiyo wakishuudia shule iyo ikiwaka moto uku wakishindwa kutoa msaada wowote kutokana na gari la zima moto la mkoa wa pwani kushindwa kufika kutokana na kudai kuwa ni bovu
Mnamo majira ya
saa8 usiku wa kuamkia leo Shule ya msingi iyo iliyopo kibaha mkoani
pwani maeneo ya kwamatiasi usiku wa kuamkia leo imeungua moto
yote.chanzo ikiwa ni shot
ya umeme iliyo jitokeza kwenye chumba kimoja cha madarasa hayo na
kusababisha madarasa 14 yote kuwaka moto ila cha kumshukulu mungu kuwa
wanafunzi wote walipona ila vitu vyao vyote vimeteketea kwa moto mtafuta mmiliki wa shule hiyo alisema
ni kweli kuwa shule imeungua na vitu vingi vimeungua ila ni mapema
sana kutaja thamani ya vitu vilivyo ungua mpaka tutakapo kaa na kujua ni
vitugani na vitu gani



1 Comments
titanium rainbow quartz
ReplyDeleteTritanium Stone micro titanium trim Stone StoneStone StoneStone Stone 2018 ford fusion energi titanium Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone titanium armor Stone Stone Stone Stone Stone Stone Stone titanium nitride gun coating Stone Stone Stone Stone Stone Stone joico titanium Stone