![]() |
Tamasha la Serengeti fiesta Shinyanga badala ya kusambaza Upendo limesambaza vilio na simanzi baada ya kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Musa Shija kuuawa kwa kupigwa kitu kizito kichwani akiwa kwenye tamasha hilo usiku wa kuamkia leo hivyo habari kamili tutakuletea endelea kufuatilia tukio hili nini kikisababisha.

0 Comments