|
MWANAFUNZI
wa darasa la tatu katika shule ya msingi Negezi iliyopo kata ya Ndala aliyefahamika
kwa jina la Happy Kashidye (9), Mkazi wa Kata hiyo Manispaa ya Shinyanga siku ya jumapili tarehe 24 ,aliuawa na watu wasio julikana kisha
kumfanyia kitendo cha kumbaka na kumtoboa Macho.
Licha ya kata hiyo, pia wimbi la kuwabaka watoto na kuwatoboa macho linaonekana kuendelea manispaa ya Shinyanga ikiwa baadhi ya wananchi kama wanaovyooneka kwenye picha kuonesha kukerwa na kitendo hicho huku wakiitaka serikali kuliangalia suala hilo kwa ulinzi mkubwa .
|
NEMC YAANGAZIA UHIFADHI WA MAZINGIRA KATIKA KONGAMANO LA UCHUMI WA BULUU
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika
Kongamano la 5 la Kimataifa la Uchumi wa Buluu, limejipambanua katika sekta
ya mazing...
0 Comments