Kijana wa kabila la kimasai,Baraka Saico amehukumiwa kifungo cha miaka 4 jela
kwa kupatikana na hatia katika kesi ya kuhujumu uchumi mara baada ya kukutwa na ngozi
ya chui katika stendi ya daladala za hiace ziendazo Kange, hukumu hiyo imetolewa hivi karibuni na
hakimu,Maira Kasonde mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Tanga.
0 Comments