![]() |
| Lori la mafuta limeanguka kimara mwisho jijini Dar-es salaamu hali ambayo imefanya kuziba njia na kusababisha foleni kubwa,ikiwa baadhi ya wananchi wakitumia mwanya huo kujipatia kipato na kufanya uhalifu hivyo ni jukumu la ulinzi shirikishi kwenye maeneo hayo kuchukua hatua za haraka na kuthibiti uhalifu,ambapo imeonekana kuwa kama desturi ya baadhi ya wananchi kukusanyika pasipo sababu sio dar pekee hata maeneo mengine hali kama hiyo hujitokeza na ambapo ni hatari kwa mtazamo huenda kitu kingine cha kulipuka kikitokea wanaweza kupoteza maisha idadi kubwa. |

0 Comments