Picha mkono wa kushoto ni mjumbe wa CCM halmashauri kuu taifa kutoka jimbo la
tanga Kassim Kisauji akimvalisha sare ya CCM diwani wa
CUF,Mambeyakushoto juzi mara baada ya kutangaza nia yake ya kuhamia
chama tawala.
Aliyesimama mkono wa kulia ni naibu ke twaziri Simbachawene akihutubia mkutano wa wanakijiji cha kwangena mija ya ziara zaanga.
Picha mkono wa kushoto anayeongea kwa ishara ni naibu waziri akimshauri
mkuu wa wilaya ya mkinga Mboni Mgaza kuanza mchakato wa kuzinunua nyumba
40 za shirika la nyumba.
0 Comments