| Madiwani wakisikiliza taarifa iliyokuwa ikisomwa na afisa mipango wa halmashauri hiyo Fares Mahushi amambaye hayupo pichani. |
| Makamu mwenyekiti Samson Gelewe akishukuru baada ya mgeni rasmi David Isanga kumaliza kazi ya kutoa taarifa za kueleza changamoto mbele ya wananchi ambao hawapo pichani. |
| Mjumbe wa NEC kutoka halmashauri ya wilaya ya Kishapu Boniface Butondo akiwasalimia wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya serikali za mitaa ambao hawapo pichani. |
0 Comments