| Mkuu wa wilaya ya Kishapu Wilson Nkhambaku akimpatia waziri wa afya Seif Rashidi taarifa ya afya kuhusiana na changamto walizonazo katika wilaya hiyo. |
| Hili ni jengo la wagonjwa wa nje (OPD) ambalo limejengwa kwa gharama ya shilingi millioni 291 mpaka hapo lilipofikia. |
| Hii ni moja ya wodi ya wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga mara baada ya waziri wa afya kutembelea ujenzi huo ambao bado haujakamilika kwa baadhi ya majengo. |
0 Comments