| Naibu mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga akifungua kikao cha baraza la madiwani cha dharura kilichofanyika katika ukumbi wa mkoa wa shinyanga. |
| Madiwani wa manispaa ya Shinyanga wakifuatlia taarifa inayosomwa na mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali mkoa wa Shinyanga Mussa Slyvester. |
| Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Annarose Nyamubi alisema kuwa iwapo manispaa ya Shinyanga inataka ujenzi wa ofisi ionyeshe eneo la ujenzi huo sio kuweza kujadili suala ambalo hata eneo halio. |
| Naibu katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga Projectus Rugonzibwa akitoa ushauri katika baraza la madiwani. |
0 Comments