| Naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika Godfrey Zambi akikagua mradi wa banio kwaajili ya umwagiliaji ambao haufanyi kazi licha ya kutumia gharama kubwa kwa ujenzi huku akisikitishwa na uotaji nyasi na kufanya kukosekana kwa njia ya kuelekea kwenye banio hilo. |
0 Comments