| Mkuu wa mkoa wa Shinyanga akiwasili katika banda la redcross kwa lengo la kupata maelezo namna wanavyo hamasisha jamii ili waweze kutoa damu. |
| Wadau wa afya wakijiandaa kutoa maelezo baada ya kumuona mkuu wa mkoa karibu yao ambaye hayupo pichani kwa lengo la kutoa maelezo namna wanavyo wajibika. |
0 Comments