Mwenyekiti wa chama cha watumishi wa serikali za mitaa TALGHU tawi la Shinyanga Christopher Malengo alipokuwa akiwasilisha malalamiko dhidhi ya mifuko ya hifadhi kuwa imejikita kusaidia wafanyakazi na kutumia fedha hizo kwaajili ya uwekezaji ,ikiwa alishauri kuwa wenye mifuko hiyo watengeneze utaratibu wa kuwekeza kwa kukopa wafanyakazi pindi bado wawapo kazini kuliko kusubiri uzeeni,
Hata hivyo aliwaeleza mamlaka ya mifuko ya hifadhi SSRA kuwa mwajiri anachangia asilimia 15, mwajiriwa asilimia 5,na kuchukua baada ya miaka zaidi ya 20 sasa kwanini usiwepo utaratibu pia wa hao wenye mifuko kuchangia nao asilimia mbili. |
0 Comments