HALMASHAURI za kanda
ya ziwa zimetakiwa kuwa na akiba ya Ardhi ilikuweza kutoa fursa kwa wawekezaji
pindi wanapokuja kuwekeza katika maeneo yao ikiwa changamoto kubwa imebainika
kukosa maeneo ya kuwekeza pindi
yanapohitajika ili kuweza kunyanyua
uchumi .
NEMC YAANGAZIA UHIFADHI WA MAZINGIRA KATIKA KONGAMANO LA UCHUMI WA BULUU
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika
Kongamano la 5 la Kimataifa la Uchumi wa Buluu, limejipambanua katika sekta
ya mazing...
0 Comments